Tuliza Mishipa Yako

Mzee mmoja mwenye busara alisema: "Mtu mwenye nguvu si yule anayeweza kuwashinda wengine (kwenye mieleka). Bali mtu mwenye nguvu ni yule anayedhibiti mishipa yake ya fahamu anapokasirika, au nyakati za shida."