Nataka kurudi nyumbani kwetu

 

  • Nataka kurudi nyumbani kwetu *4
  • Nataka kumshika mama yangu, nataka kumkumbatia baba yangu.
  • Nataka kurudi nyumbani kwetu. * 4
  • Nataka kumwona bibi yangu, nataka kumwona babu yangu.
  • Nataka kurudi nyumbani kwetu. *4
  • Nataka kugusa udongo, nataka kuchuma matunda ya miti,
  • Nataka kutazama anga, nataka kunywa maji ya visima.
  • Nataka kurudi nyumbani kwetu. *4
  • Nataka kukutana na marafiki zangu, nisali msikitini kwangu, nisome Kurani yangu, kwa sauti ya juu kadiri niwezavyo.
  • Nataka kurudi nyumbani kwetu. *4
  • Nataka kurudi mjini kwetu, hata kwa ziara tu, siku moja, siku moja.
Never Lose Hope

Tags