Fumbo la mtu mwenye moyo wa kijani

The puzzle of the green heart

Ninapenda kukupenda, lakini ninaogopa kukupenda.
Nachukia kukuchukia, kwani mimi sikuchukii.
Ninashangaa kuzunguka kutafuta zaidi, wakati nipo na wewe.
Unasema una moyo, lakini usisahau kwamba mimi nina moyo pia.
Natamani kuwa na maisha ya furaha nitumie nawe.